Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 6 Ufahamu

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 6 Ufahamu UFAHAMU Ufahamu wa Kusikiliza Ufahamu wa kusikiliza ni zaidi ya kusikiliza tu kile kilichosemwa; badala yake ni uwezo wa mtu kuelewa maana ya maneno anayoyasikia na kuweza kuhusiana nayo kwa namna fulani. Kwa mfano mwanafunzi anaposikiliza hadithi, ufahamu mzuri wa kusikiliza humsaidia kuielewa hadithi hiyo, kuikumbuka, kuijadili, na … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 5 Uandishi

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 5 Uandishi   UANDISHI Uandishi wa Insha za Kiada Insha ni kifungu cha maandishi kilichoandikwa kutokana na mtazamo wa mwandishi katika kujadili juu ya mada fulani. Mwandishi anaweza kuandika kuipinga mada hiyo au kuishadidia mada hiyo. Kuna aina mbili za insha, insha za kaida (zisizo za kisanaa) na insha za … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 4 Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 4 Kutunga Kazi Za Fasihi Andishi UTUNGAJI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI Utungaji wa Mashairi Mambo ya Kuzingatia katika Utungaji wa Mashairi Utungaji/uandishi wa kubuni ni ule unatokana na hisia ambazo zinamsukuma mtunzi ili atunge kazi yake. Hisia zinaungana na wazo ambapo vitu hivyo vinamsumbua akilini na kumkosesha raha. Mwandishi … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 3 Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 3 Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi   UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya Dhana ya Uhakiki Uhakiki ni kitendo cha kutathmini, kueleza, kuainisha na kutoa maoni juu ya kazi fulani ya fasihi kwa kuongozwa na kaida maalum. Kwa kiwango cha elimu ya sekondari … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 2 Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Za Waingereza Na Baada Ya Uhuru

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 2 Ueneaji Wa Kiswahili Enzi Za Waingereza Na Baada Ya Uhuru UKUAJI NA UENEAJI WA KISWAHILI KATIKA ENZI YA WAINGEREZA Mambo waliyochangia Waingereza katika Ukuaji wa Kiswahili nchini Tanzania Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani walikuta Kiswahili kimeimarika na kinatumika katika maeneo mengi ya nchi. Kwa kuwa nao … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 1 Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 1 Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili UUNDAJI Uundaji wa Maneno Lugha hukua na kubadilika kila wakati kulingana na maendeleo ya jamii. Kigezo kimojawapo cha kukua na kubadilika kwa lugha ni kuongezeka kwa msamiati. Ili msamiati uongezeke katika lugha sharti maneno mapya yaundwe. Njia za Uundaji Maneno Uundaji wa Msamiati hutokea kwa … Read more

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada Zote

Kiswahili Kidato Cha Nne Mada Zote Form Four kiwahili Notes All Topics Click Link Below To Join Our Groups TELEGRAM | WHATSAPP Click Here To Download Our Notes   Click the links below to view the notes of kiswahili for all topics: TOPIC 1 – KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI TOPIC 2 – UENEAJI WA KISWAHILI ENZI ZA … Read more