Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 3 Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi
Kiswahili Kidato Cha Nne Mada 3 Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya Dhana ya Uhakiki Uhakiki ni kitendo cha kutathmini, kueleza, kuainisha na kutoa maoni juu ya kazi fulani ya fasihi kwa kuongozwa na kaida maalum. Kwa kiwango cha elimu ya sekondari … Read more